WABABE RESTAURANT.
Ndugu mteja tafadhali zingatia yafuatayo kwa usalama wako ukiwa eneo hili (hatuna msamaha)
1. Hakikisha unasafisha vyombo vyote na meza kabla hujaondoka.
2. Unapohitaji chakula hakikisha unahela iliyokamili (katika chenji). Hatuna muda wa kuzunguka/ kuhangaika kutafuta chenji kwa sababu yako.
3. kama ukiagiza chakula na ukaletewa ambacho sioulicho hitaji lazima ule na kama bei ipo juu utaongeza hela kama bei ipo chini haturudishi hela ni uzembe wako.
4. Unapoagiza chakula hakikisha hujavaa spika masikioni (ear/head phones) kwani ni
dalili ya dharau.
5. Marufuku kuacha/kubakisha chakula (lazima umalize)
6. Marufuku kuomba namba za wahudumu wetu wakike (usifikirie hata kujaribu)
Tunatanguliza tahadhari kabla ya ajali,jitahidi kuzingatia hayo hapo juu.
Wako,Afisa Bora Huduma Bora kwa Wateja (Nina mkanda mweusi wa Judo)
Kwa niaba ya
KERO INVESTMENT CO.
Subscribe to:
Post Comments (Atom)

No comments:
Post a Comment