Sunday, July 1, 2012

SHAROBARO


Wanafunzi wa shule flani waliambiwa watengeneze
t.v kwa kutumia mabox!
Siku ya kuleta hizo t.v wanafunzi wote wakaleta
mabox yao,kasoro dogo mmoja sharobaro alieleta
karatasi kubwaaaa
...
Mwalimu akamuuliza "We vipi mbona umeleta
karatasi?"
Dogo akamjibu "Hii ni plasma flat screen".

No comments:

Post a Comment