Monday, August 6, 2012

PUNDA ANGEKUWA PROFESa

Baba: Mbona unafeli kila mtihani mwanangu?
Mtoto:Sababu sina akili
Baba:Sasa ngoja nikupige fimbo ili uwe an akili
Mtoto:Ingekuwa fimbo ndio humfanya mtu kuwa na akili basi punda angekuwa PROFESA